Sunday, August 19, 2018

Ukurasa wetu katika Instagram.👉s.e.t_industries

Unaweza kututembelea pia katika ukurasa wetu wa instagram kwa vitu vingi zaidi kila wakati kila mahali  tunapatikana.

Thursday, August 2, 2018

Msimu wa nane nane.

Ewe mkazi wa  Mbeya ni zamu yako sasa kuja kujionea bidhaa zetu hapo katika viwanja vya nane nane katika mabanda ya sido,kuanzia tarehe moja mwezi wa nane mpaka tarehe nane mwezi wa nane 2018.